Chama Cha Mapinduzi tawi la CCM Moscow Urusi tunaunga mkono msimamo wa rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete wa kutokujitoa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katika taarifa yake, mwenyekiti wa Tawi Ndg Salim A. Mfungahema alisema, Jumuiya ya Afrika mashariki ni muhimu sana hasa katika maeneo ya uchumi, siasa na uhusiano mzuri na majirani zetu kitendo ambacho kitapelekea kuiweka mipaka yetu salama zaidi, na kutoa fursa kwa watanzania kushiriki shughuli mbalimbali za uchumi.
Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bi Amina Mohamed amekaririwa akisema Kenya ilipotoka kuitenga Tanzania.
katibu mwenezi Tawi la CCM-Moscow Urusi
Eng. Esther Kamulali.
Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bi Amina Mohamed amekaririwa akisema Kenya ilipotoka kuitenga Tanzania.
katibu mwenezi Tawi la CCM-Moscow Urusi
Eng. Esther Kamulali.

No comments:
Post a Comment