Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 (picha: Ikulu ya Tanzania)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013
Inaleta matumaini kidogo kwenye shirikisho la Afrika ya Mashariki, Embu tuvute subira kidogo hatujui waliongea nini.



No comments:
Post a Comment