Amiri jeshi mkuu, Rais dkt Jakaya Kikwete akimpa zawadi luteni usu Evarist Mawalla wakati alipowatunuku maafisa wapya wa jeshi la wananchi Tanzania walipomaliza mafunzo yao katika chuo cha jeshi Monduli juu jiji Arusha. Luten Usu Mawalla aliibuka mshindi mwanafunzi bora katika mafunzo hayo yaliochukua mwaka mmoja wanafunzi wa kigeni pia walishiriki.
Amiri jeshi mkuu, Rais dkt Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa halfa ya kuwatunuku kamisheni maafisa wa jeshi la wananchi Tanzania yaliofanyika chuo cha jeshi Monduli jiji Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na kumrekebisha tai mbunge wa Monduli Mh, Edward Lowassa ambaye juzi alinusurika katika ajali ya ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA, Rais alikuwa Monduli mkoani Arusha kuhudhuria halfa ya kuwatunuka kamisheni maafisa wa JWT.

No comments:
Post a Comment