Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo.
Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani akila kiapo
Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam siku ya jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb) Waziri wa Maliasili na Utalii akila kiapo
Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akila kiapo
Rais Kikwete akimuapisha Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb) Waziri wa Fedha.
Rais Kikwete akiongea na Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani na wakuu wa vyombo mbalimbali vya dola vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndan











No comments:
Post a Comment