Makamu wa rais wa
jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alipokutana na
mwenyekiti wa-CCM tawi la Moscow Urusi Bwana Salim Amani Mfungahema IKULU jijini Dar es Salaam kwenye mahafari ya kuadhimisha miaka 50
ya uhuru wa Tanzania Bara. Dr. Salim A. Mfungahema ambae pia ni mwanafunzi wa
fani ya Udaktari Chuo Kikuu Lumumba alialikwa nchini Tanzania kuhudhuria
mahafari ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Pamoja na mambo mengine Dr.
Mfungahema alitumia nafasi hiyo kulitambulisha rasmi tawi CCM MOSCOW kwa
mwenyekiti wa CCM Taifa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr
Jakaya Mrisho Kikwete ikiwa ni pamoja na kuelezea changamoto mbalimbali
zinazorikabili tawi hilo.
PICHA NA KATIBU WA
TAWI
HASSAN H. KAPILIMA
CCM-MOSCOW-URUSI
CCM-MOSCOW-URUSI
No comments:
Post a Comment