Rais wa Jamhuri ya
muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM-Moscow-Urusi Ndg Salim Amani Mfungahema mara baada ya
tafrija fupi IKULU Dar es Salaam. Dr Mfungahema alialikwa nchini Tanzania kuhudhuria Mahafari ya kuadhimisha miaka 50 ya UHURU wa Tanzania bara, pamoja na mambo mengine mwenyekiti wa Tawi la CCM Moscow Dk Salim mfungahema alipata fursa ya kulitambulisha rasmi Tawi la CCM-Moscow-Urusi.
IMETOLEWA NA OFISI YA KATIBU MKUU WA TAWI
HASSAN H. KAPILIMA
CCM-MOSCOW
No comments:
Post a Comment