Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete(katikati) akionyesha kuwa mwenye furaha, alipowasili ukumbini kufunga mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, juzi, 24-10-2013 mjini Dodoma. Mafunzo hayo yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Mhe.Abdulrahman Kinana.
No comments:
Post a Comment