Rais Jakaya Kikwete akiongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. Rais Kikwete alikuwa anarejea nyumbani Tanzania mara baada ya kumaliza mkutano wake wa OGP (Open Government Partnership) uliofanyika London nchini Uingereza. Pembeni yake kulia ni Bi Mariam Mungula, Kaitbu wa CCM UK.
Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete
Mwenyekiti wa CCM UK akisalimiana na Rais Kikwete na kumshukuru kwa muda wake aliojitoela kuongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza jioni ya jana kumuaga.
Rais Kikwete akisalimana na Diaspora blogger Jestina George Meru
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amakuwa ni kiongozi mwenye mvuto na mwenye nyota ya kupendwa na watanzania wengi ndani na nje ya nchi, na hii inatokana na ukweli kwamba rais KIKWETE ni rais ambaye mwenye uwezo wa kuongea au kuthamini utu wa kila mtu wa matabaka mbalimbali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
WATANZANIA CCM DAIMA
MWENYEKITI WA TAWI LA CCM-MOSCOW-SHIRIKISHO LA URUSI
DK SALIM AMANI MFUNGAHEMA


No comments:
Post a Comment