Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Said Mec sadik akimpokea Mh rais Kikwete alipowasili nchini muda mfupi akitokea Paris Ufaransa ambapo alihudhuria mkutano unaohusu amani, usalama na ushirikiano wa uchumi kati ya ufaransa na bara la Afrika.
Rais dkt Jakwete Mrisho kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kusimama kwa muda mfupi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya akiwa njiani kuelekea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano nchini Ufaransa. Kulia ni waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bi Amina Mohammed na kushoto ni afisa itifaki.
Rais dkt Jakaya Mrisho kikwete akizungumza na waziri wa mambo ya nje wa Kenya balozi Amina Mohamed mara baada ya kusimama kwa muda katika uwanja wa ndege wa Jomo kenyata Jijini Nairobi, Rais alikuwa njiani kuelekea nyumbani akitokea Parisi Ufaransa kuhudhuria mkutano wa amani, usalama na ushirikiano wa uchumi kati ya Ufaransa na bara la Afrika.

No comments:
Post a Comment