Thursday, 17 April 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEUA BALOZI MPYA KUWAKILISHA TANZANIA-MOSCOW URUS






Rais J.Kikwete amemteua Luteni Jenerali Wynjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania Urusi. Kabla ya uteuzi huo, Jenerali Kisamba anayekwenda kuchukua nafasi ya Balozi Jaka Mwambi, alikuwa Mkuu wa Utendaji Kivita na Mafunzo, Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
kwa niaba ya Tawi la CCM Moscow-Urus tunamkaribisha balozi mpya Moscow.

No comments:

Post a Comment