Monday, 26 May 2014

ZIARA YA KATIBU MKUU CCM TAIFA MH KINANA JIMBO LA SINGIDA MJINI


Katibu mkuu wa CCM Kinana akitembelea hospital kubwa na ya kisasa singida mjini, hospital hiyo itawasaidia wananchi wote wa kanda ya kati na Tanzania kwa ujumla. kulia ni naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba na kushoto kwa katibu mkuu ni mbunge wa singida mjini Mh Mohamed Dewiji.

   

Hospital kubwa na ya kisasa inavyoonekana, ni katika mwendelezo wa serikali ya CCM kutekeleza ilani yake ya uchaguzi.

      Katibu mkuu CCM Mh Kinana akipata maelekezo kotoka kwa mtaalam wa afya

     Mh Kinana akitoa ushirikiano wa ujenzi katika baadhi ya maeneo ya hospital hiyo

No comments:

Post a Comment